Mauzauza ya raha: Kuchagua upendo badala ya hofu

· Tektime
Ebook
183
Pages
Eligible

About this ebook

”Atazamaye nje huota ndoto. Atazamaye ndani, Huamka”-Carl Jung
Mauzauza Ya Raha; Kuchagua Upendo badala ya Hofu ni kitabu cha 4 katika ”Tetralojia ya Kuamka”. Kitabu hiki kinafunua njia nyingi za uwongo kupitia maisha ambazo tunaweza kuchukua na jinsi tunaweza kupata amani ya kweli ya ndani na kusudi maishani mwetu.
Wakati uhusiano wetu na ulimwengu unaotuzunguka unapoundwa kupitia lenzi zinazotawala za hofu, Safari yetu ya Maisha mara nyingi inaweza kuwa ya upweke na udhalimu. Shida zetu hazikomi, mizigo yetu ni nzito, mara nyingi hutuongoza kujijengea vizuizi vya ndani, vya kutulinda kutokana na kiwewe cha kihemko. Bado vizuizi vile vile vinatumika kututenga na kila kitu kinachotuzunguka, pamoja na uhalisia wetu.
Mauzauza Ya Raha ni kitabu cha kiroho kinachofunua jinsi ya kukumbatia upendo badala ya hofu, Acha kutafuta maana na furaha ya ndani kupitia shughuli za nje na mahusiano katika ulimwengu; badala yake, kutafuta kutoka ndani.

Translator: Sam

PUBLISHER: TEKTIME
”Atazamaye nje huota ndoto. Atazamaye ndani, Huamka”-Carl Jung Mauzauza Ya Raha; Kuchagua Upendo badala ya Hofu ni kitabu cha 4 katika ”Tetralojia ya Kuamka”. Kitabu hiki kinafunua njia nyingi za uwongo kupitia maisha ambazo tunaweza kuchukua na jinsi tunaweza kupata amani ya kweli ya ndani na k...

Discover more

Rate this ebook

Tell us what you think.

Reading information

Smartphones and tablets
Install the Google Play Books app for Android and iPad/iPhone. It syncs automatically with your account and allows you to read online or offline wherever you are.
Laptops and computers
You can listen to audiobooks purchased on Google Play using your computer's web browser.
eReaders and other devices
To read on e-ink devices like Kobo eReaders, you'll need to download a file and transfer it to your device. Follow the detailed Help Center instructions to transfer the files to supported eReaders.