Kids Academy: Mchezo wa Kusoma

Maoni elfu 3.26
Daraja la maudhui
Kila mtu
1M+
Vipakuliwa
Zimeidhinishwa na Walimu
Daraja la maudhui
Kila mtu
Ununuzi wa ndani ya Mchezo
Pata maelezo zaidi
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Kids Academy: Michezo ya Kusoma ni programu kabambe ya elimu kwa ajili ya maendeleo ya watoto wa shule ya chekechea.

Kids Academy ina zaidi ya michezo na shughuli 1500 za kuelimisha na kufurahisha zinazofaa wavulana na wasichana kuanzia umri wa miaka 2 hadi 6.

Programu hii inashughulikia mada muhimu za mtaala wa chekechea: utambuzi wa herufi na nambari, kusoma, kuchora, tahajia, fonitiki, kujumlisha, kutoa, maumbo, rangi, mifumo na mengine mengineyo.

Kuna njia ya kujifunza ambayo watoto wanaifuata, lakini pia wanaweza kuchagua michezo mahususi ya kufurahia. Njia hii inaambatana na hadithi ya shujaa mkuu - Bimi Boo - na marafiki zake.

Shughuli zote katika akademia hii zimeundwa kwa ushirikiano na wanasaikolojia wa watoto na wataalamu vya elimu ya chekechea.

Wazazi wanaweza kufuatilia maendeleo ya watoto wao katika sehemu maalum ya programu. Programu hii haina matangazo kabisa.

Vipengele vya Kids Learning Academy:
- Shughuli 1500+ za kuelimisha watoto wachanga na wakubwa.
- Shughuli nyingi za kukuza maendeleo ya kiakili ya mtoto: mafumbo mbalimbali, kurasa za kupaka rangi, kuchora, michezo ya kupanga, video, nyimbo, vitabu na mengi zaidi.
- Ufuatiliaji wa maendeleo kwa wazazi.
- Mpaka wasifu (profiles) 3 kwenye akaunti moja.
- Imeundwa mahususi kwa watoto vya chekechea walio chini ya miaka 6.
- Hukuza ubunifu, kufikiri kimantiki, ujuzi wa misuli midogo na mawazo.
- Sauti ya kitaalamu kutoka kwa waigizaji wa sauti zaidi ya 15.
- Zaidi ya mada 50 zinazoshughulikiwa zikiwemo herufi, nambari, wanyama, mimea, maumbo, rangi, taaluma, hali ya hewa, chakula, usafiri n.k.
- Mazingira salama kwa watoto, bila matangazo.

Bimi Boo Kids Academy ni programu ya usajili, kwa hivyo haina matangazo ili kufanya uchezaji uwe salama kwa watoto. Pia tunaongeza maudhui mapya mara kwa mara.

Mpe mtoto wako mwanzo salama wa kujifunza ukitumia Kids Academy. Anza sasa!

Tunafurahi kila wakati kupokea maoni na mapendekezo yako.

Sera yetu ya Faragha: https://bimiboo.net/privacy-policy/
Masharti yetu ya Utumiaji: https://bimiboo.net/terms-of-use/
Jifunze msamiati, hesabu na mengineyo kwa video na michezo ya kuelimisha.
Ilisasishwa tarehe
25 Sep 2026
Habari zinazoangaziwa

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
  • Programu hii huenda ikaruhusu aina hii ya data ikafikiwa na washirika wengine
    Utendaji na maelezo ya programu na Kifaa au vitambulisho vingine
  • Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
    Taarifa binafsi, Shughuli za programu na nyingine2
  • Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
  • Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
  • Kujitolea kufuata Sera ya Familia ya Google Play

Ukadiriaji na maoni

Maoni elfu 1.9

Vipengele vipya

This update features improvements to the stability and performance of the app, bug fixes, and other minor optimizations.
We're committed to providing the best possible experience for our young users and their parents, and we hope you enjoy our app.
Thank you for choosing Bimi Boo Kids learning games!